Televisheni
(
kifupi
:
TV
) au
runinga
ni chombo (
kifaa
) chenye
skrini
(
kioo
) ambacho kinapokea
mawasiliano
kutoka
kituo cha televisheni
na kuyabadilisha kuwa
picha
na
sauti
.
Neno
"televisheni" linatokana na maneno mawili:
tele
(kutoka
Kigiriki
:
kwa mbali sana
) na
visio
(kutoka
Kilatini
:
mwono
; kwa pamoja yanaunda neno la
Kiingereza
television
lililotoholewa katika
Kiswahili
televisheni
.
Historia ya televisheni
Kwa kawaida TV inaonekana kama
sanduku
. TV za zamani kabisa zilikuwa zina
kirimba
au
fremu
kubwa ya
mbao
na zilikuwa zikiwekwa chini kama
fanicha
. TV za kisasa ziko za namna nyingi kama zilivyo nyingi zaidi. Kuna baadhi ya TV zinaweza kuenea
mkononi
mwako zikawa zinaendeshwa kwa kutumia
betri
. TV nyingine zinaweza kuenea
ukuta
mzima wa
nyumba
, na inaweza kukaa katika
sakafu
, au kuna nyingine ambazo zimenyooka (flat) na zinaweza kubandikwa ukutani.
Televisheni inaweza kuonyesha picha kutoka sehemu mbalimbali. Cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kutumia kidaka mawasiliano au
antena
(au aerial), hii itaonyesha yale yote yanayorushwa na kituo cha matangazo ya televisheni.
Vituo vya TV vinaweza kuwa mbali kabisa lakini bado matangazo yake yanapatikana kama antena ya kurusha
mawimbi
yake iko katika umbali wa
kilomita
50 hadi 150.
Teknolojia
mpya zaidi ni kutumia
vyombo vya angani
kama antena ya kurusha mawimbi haya
duniani
. TV pia inaweza kuonyesha
filamu
kutoka
VCD
na
DVD
au
VCR
yaani
tepu
za kawaida. Cable TV na Satellite TV zinaweza zikatoa huduma nyingi za vipindi vya TV kwa mara moja na vilevile kuvirusha
hewani
.
Michezo
mingi
ya video
huunganishwa katika TV ili uweze kuona kile unachokicheza. Kuna baadhi ya
tarakilishi
au
kompyuta
ambazo unaweza kutumia TV kama kioo cha kufanyia
kazi
zako (skrini, au kwa jina lingine monita). TV za kisasa (
TV janja
, kwa
Kiingereza
:
Smart TV
) zina uwezo wa kutumia intaneti moja kwa moja.
TV zote zina skrini ambayo inaonyesha picha. Kabla ya
miaka ya 1970
TV zilikuwa hazina
rangi
(yaani zilikuwa "black and white" tu), ambazo zilikuwa zinafanya kila kitu kionekane cha rangi ya
kijivu
. Lakini kwa sasa karibuni TV zote zinaonyesha na rangi. Kawaida ya viwambo vingi (kioo au vioo) huonyesha kuwa vina
kona
ya mzunguko, lakini kwa sasa vioo vingi hutengenzwa kwa kunyooka na zina
ncha
pembeni.
Kabla ya
miaka ya 1990
, TV zote zilikuwa zikitengenezwa kwa
umbo
moja - zilikuwa kubwa kidogo na kisha zilikuwa ndefu. Kwa mfano, kama kioo kilikuwa cha
urefu
wa
inchi
3, basi lazima kitakuwa na
upana
wa inchi 4. Au kama kioo kina urefu wa
cm
30, lazima kitakuwa kina upana wa cm 40.
Umbo la TV za kisasa linazidi kuwa maarufu na kupata wapenzi wengi zaidi kila siku ziendapo. TV zenye kioo cha upana mkubwa wa
mstatili
huonekana vizuri katika runinga kubwa (theatre screen) na pia inapendeza wengi zaidi. Hizi huziita kioo kipana (widescreen). Endapo TV ya kioo kipana ina urefu wa cm 30, basi lazima itakuwa ina upana wa cm 53. Ili ifanye kazi vizuri, uonyeshaji wa TV pia unatakiwa ujengwe kwa namna ya upana yaani 'widescreen'. Kioo kipana kinaweza kubadilishika kwa ukubwa wowote unaoutaka, lakini suala la umbo linabaki kuwa vilevile kama lilivyo (widescreen).
Televisheni Afrika
Viungo vya nje