Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
11 Februari
ni
siku
ya
arubaini na mbili
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 323 (324 katika miaka mirefu).
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
ya
Bikira Maria wa Lurdi
, lakini pia za
watakatifu
Sotere wa Roma
,
Wafiadini wa Numidia
,
Kastrese
,
Sekondino wa Apulia
,
Severino wa Agaune
,
Papa Gregori II
,
Papa Paskali I
,
Ardani
,
Petro Maldonado
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
11 Februari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|