Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
26 Februari
ni
siku
ya
hamsini na saba
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 308 (309 katika miaka mirefu).
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Aleksanda wa Aleksandria
,
Faustiniani wa Bologna
,
Porfiri wa Gaza
,
Agrikola wa Nevers
,
Vikta mkaapweke
,
Andrea wa Firenze
,
Paula Montal
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
26 Februari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|