Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bikira Maria wa Lurdi
(kwa
Kifaransa
:
Notre Dame de Lourdes
au
Notre-Dame-de-Lourdes
; kwa
Kiingereza
"Our Lady of Lourdes") ni
jina
mojawapo la
Bikira Maria
lililotokana na
njozi
maarufu zilizojirudia
mwaka
1858
alizozisimulia
Bernadeta Soubirous
,
msichana
mnyenyekevu wa
Lourdes
,
Ufaransa
.
Binti
huyo alisema kwamba aliwezeshwa kumuona mara kadhaa katika
pango
la Massabielle kati ya
milima
Pirenei
kwenye
mto Gave
karibu na
kijiji
cha
Lourdes
.
Njozi hizo zilithibitishwa na
Kanisa Katoliki
kuwa za kuaminika, hata ikaanzishwa
kumbukumbu
yake katika
liturujia
kila
tarehe
11 Februari
, ilipotokea njozi ya kwanza
[2]
. Kutokana na wingi wa
miujiza
iliyowatokea
wagonjwa wanaohiji huko kwa
mamilioni
, siku hiyo inaadhimishwa na Kanisa kama
Siku ya Kimataifa ya Wagonjwa
.
|
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Bikira Maria wa Lurdi
kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|