Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ketti Frings
(
28 Februari
1909
–
11 Februari
1981
) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya
Marekani
. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa
Katherine Hartley
. Mwaka wa 1958, alipokea
Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya
kwa
tamthiliya
yake
Look Homeward, Angel
.
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ketti Frings
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|