Taylor Lautner (amezaliwa tar. 11 Februari 1992 ) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani .