Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
14 Februari
ni
siku
ya
arubaini na tano
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 320 (321 katika miaka mirefu).
- Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Sirili wa Thesalonike
na
Methodi wa Thesalonike
,
Valentinus
,
Vitalis wa Spoleto
,
Zeno wa Roma
,
Basiano na wenzake
,
Eleukadio
,
Ausenti abati
,
Nostriano
,
Antonino wa Sorrento
,
Yohane Mbatizaji Garcia
n.k.
- Kutokana na
sikukuu
ya mtakatifu
Valentinus
, tarehe hii inasheherekewa kama "
Siku ya wapendanao
"
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
14 Februari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|