Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
27 Februari
ni
siku
ya
hamsini na nane
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 307 (308 katika miaka mirefu).
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Gregori wa Narek
,
Juliani na Eunus
,
Besas
,
Honorina wa Rouen
,
Baldomero wa Lyon
,
Basili na Prokopi
,
Luka wa Messina
,
Anna Line
,
Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
27 Februari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|