9 Februari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jan - Februari - Mac
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Februari ni siku ya arubaini ya mwaka . Mpaka uishe zinabaki siku 325 (326 katika miaka mirefu).

Matukio [ hariri | hariri chanzo ]

Waliozaliwa [ hariri | hariri chanzo ]

Waliofariki [ hariri | hariri chanzo ]

Sikukuu [ hariri | hariri chanzo ]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolonia wa Aleksandria , Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria , Primo na Donato , Maroni , Teilo , Sabino wa Canosa , Ansberto wa Rouen , Alto , Rinaldo wa Nocera , Mikaeli Febres n.k.

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu 9 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .