Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
31 Desemba
ni
siku
ya 365 ya
mwaka
(ya 365 katika miaka mirefu). Daima ni ya mwisho.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Papa Silvester I
,
Donata, Paulina na wenzao
,
Kolomba wa Sens
,
Zotiko wa Konstantinopoli
,
Melania Kijana
na
Piniani
,
Barbasiani wa Ravenna
,
Yohane Fransisko Regis
,
Katerina Laboure
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
31 Desemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|