Ivan Petrovich Pavlov ( 26 Septemba 1849 ? 27 Februari 1936 ) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Urusi . Hasa alichunguza mwenendo wa wanyama. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .