Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhaishaji
(kwa
Kiingereza
"animation") ni njia ya kutengeneza
filamu
kutokana na
picha
nyingi ambazo huwekwa pamoja, kisha huchezwa kwa
kasi
ili kutoa udanganyifu wa miondoko.
Uhaishaji ni aina mpya ya
sanaa
, na ingawa
dhana
ya kutembeza
picha
imekuwa mandhari katika
ustaarabu
wa kale, haikuwa mpaka mwishoni mwa
karne ya 19
kwamba ukaragushi wa majaribio ulianza kweli.
Leo, sekta ya uaishaji inaongezeka, na hufanya
biashara
kubwa. Hata hivyo, kati ya
wasanii
binafsi, bado ni aina ya pekee ya sanaa.
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Uhaishaji
kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|