Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amiri
Muammar al-Gaddafi
(kwa
Kiarabu
:
???? ???????
Mu‘ammar al-Qadh?f?)
alikuwa kiongozi wa
taifa
la
Libya
.
Maisha
Alizaliwa katika
familia
ya
mabedawi
(
wafugaji
wa kuhamahama) mnamo
mwaka
1942
.
Baada ya masomo ya
sheria
kwenye
chuo kikuu
cha Libya alijiunga na
jeshi
mwaka
1963
akasoma kwenye chuo cha kijeshi cha
Sandhurst
(
Uingereza
) mwaka
1965
.
Tarehe
1 Septemba
1969
pamoja na maafisa wenzake alipindua
serikali
ya
mfalme
Idris I
na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya.
Ingawa hakuwa na
cheo
rasmi aliendelea kutawala nchi yake akiitwa "Kiongozi wa mapinduzi ya 1 Septemba ya Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu".
Hatimaye akapinduliwa mwenyewe tarehe
23 Agosti
2011, na kuuawa tarehe
20 Oktoba
2011.
|
---|
Nadharia
| |
---|
Watetezi
| |
---|
Mashirika
| |
---|
|
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Muammar al-Gaddafi
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|