Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
16 Juni
ni
siku
ya 167 ya
mwaka
(ya 168 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 198.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Julita na Kwiriko
,
Fereoli na Ferusi
,
Similiani
,
Tikoni wa Limassol
,
Aureo, Justina na wenzao
,
Aureliano wa Arles
,
Sekardo
,
Beno wa Meissen
,
Lutgarda
,
Dominiko Nguyen
,
Dominiko Nhi
,
Dominiko Mao
,
Visenti Tuong
,
Andrea Tuong
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
16 Juni
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|