Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
10 Juni
ni
siku
ya 161 ya
mwaka
(ya 162 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 204.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Sensuri
,
Landeriko
,
Itamari wa Rochester
,
Bogumili
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
10 Juni
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|