Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
23 Juni
ni
siku
ya 174 ya
mwaka
(ya 175 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 191.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Wafiadini wa Nikomedia
,
Edeltruda
,
Bili wa Vannes
,
Lanfranko wa Pavia
,
Valero wa Onhaye
,
Thomas Garnet
,
Yosefu Cafasso
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
23 Juni
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|