Barbara McClintock ( 16 Juni 1902 ? 2 Septemba 1992 ) alikuwa mwanajenetiki kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza jeni za mahindi . Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .