Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
13 Oktoba
ni
siku
ya 286 ya
mwaka
(ya 287 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 79.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Teofilo wa Antiokia
,
Fausto, Januari na Marsiali
,
Fiorenso wa Thesalonike
,
Venansi wa Tours
,
Kelidona
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
13 Oktoba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|