Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu
mwaka
1946 BK
(
Baada ya Kristo
).
- 5 Januari
-
Diane Keaton
- 14 Januari
-
Harold Shipman
, daktari na muuaji mfululizo kutoka
Uingereza
- 19 Januari
-
Dolly Parton
- 2 Februari
-
Blake Clark
, mwigizaji wa filamu kutoka
Marekani
- 26 Februari
-
Ahmed Zewail
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Kemia
mwaka wa
1999
- 15 Machi
-
Hezekiah Ndahani Chibulunje
, mwanasiasa wa
Tanzania
- 17 Machi
-
Georges Kohler
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
, mwaka wa
1984
- 7 Aprili
-
Stan Winston
, mwongozaji wa filamu kutoka
Marekani
- 30 Aprili
-
Carl XVI Gustaf
, mfalme wa
Uswidi
- 1 Mei
-
John Woo
, mwongozaji
filamu
kutoka
China
- 16 Mei
-
Joatham Mporogoma Mwijage Kamala
, mwanasiasa kutoka
Tanzania
- 13 Juni
-
Paul Modrich
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Kemia
mwaka wa
2015
- 14 Juni
-
Donald Trump
, mfanyabiashara na
Rais wa Marekani
- 26 Juni
-
Anthony John Valentine Obinna
,
askofu
Mkatoliki
kutoka
Nigeria
- 2 Julai
-
Richard Axel
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
mwaka wa
2004
- 6 Julai
-
George W. Bush
, Rais wa
Marekani
(2001-2009)
- 3 Agosti
-
Felix Christopher Mrema
, mwanasiasa wa
Tanzania
- 19 Agosti
-
Bill Clinton
, Rais wa
Marekani
(1993-2001)
- 8 Septemba
-
Aziz Sancar
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Kemia
mwaka wa
2015
- 22 Septemba
-
King Sunny Ade
, mwanamuziki wa
Nigeria
- 17 Oktoba
-
Graca Machel
, mke wa marehemu
Samora Machel
, na baadaye mke wa
Nelson Mandela
- 20 Oktoba
-
Elfriede Jelinek
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fasihi
mwaka wa
2004
- 28 Oktoba
-
Anthony Banzi
, askofu wa
Jimbo Katoliki la Tanga
,
Tanzania
- 2 Novemba
-
Marieta Severo
, mwigizaji wa filamu kutoka
Brazil
- 4 Novemba
-
Laura Bush
, mke wa Rais
George W. Bush
, na
Mwanamke wa Kwanza
wa
Marekani
(2001-09)
- 3 Desemba
-
Raphael Benedict Mwalyosi
, mwanasiasa wa
Tanzania
- 18 Desemba
-
Steve Biko
, mwanasiasa kutoka
Afrika Kusini
- 18 Desemba
-
Steven Spielberg
, mwongozaji wa filamu kutoka
Marekani
- 30 Desemba
-
Patti Smith
, mwanamuziki kutoka
Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: