Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu
mwaka
1990 BK
(
Baada ya Kristo
).
- 12 Januari
-
Andrey Marcel Ferreira Countinho
, mchezaji wa mpira kutoka
Brazil
- 3 Februari
-
Sean Kingston
,
mwanamuziki
kutoka
Jamaika
- 10 Februari
-
Sooyoung
, mwigizaji wa filamu na mwanamuziki kutoka
Korea Kusini
- 14 Machi
-
Zakaria Kibona
,
mchezaji wa mpira
kutoka
Tanzania
- 5 Aprili
-
Rhianna Ryan
, mwigizaji wa filamu kutoka
Marekani
- 15 Aprili
-
Emma Watson
- 23 Julai
-
Gracie Carvalho
, mwanamitindo kutoka
Brazil
- 12 Agosti
-
Mario Balotelli
, mchezaji mpira kutoka
Italia
- 16 Agosti
-
Deo Munishi
, mcheza mpira wa
Tanzania
- 28 Septemba
-
Kirsten Prout
, mwigizaji wa filamu kutoka
Kanada
- 29 Oktoba
-
Amarna Miller
- 28 Desemba
-
David Archuleta
, mwanamuziki kutoka
Marekani
bila tarehe
Wikimedia Commons ina media kuhusu: