Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
16 Agosti
ni
siku
ya 228 ya
mwaka
(ya 229 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 137.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Stefano wa Hungaria
,
Arsasi wa Nikomedia
,
Theodori wa Sion
,
Armaeli
,
Frambodi
,
Roko wa Montpellier
,
Roza Fan Hui
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
16 Agosti
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|