Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
18 Februari
ni
siku
ya
arubaini na tisa
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 316 (317 katika miaka mirefu).
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Sadoth na wenzake
,
Eladi wa Toledo
,
Tarasi wa Konstantinopoli
,
Anjibati
,
Theotoni
,
Yohane-Fransisko-Regis Clet
,
Yohane Petro Neel
,
Martino Wu Xuesheng
,
Yohane Zhang Tianshen
,
Yohane Chen Xianheng
,
Geltrude Comensoli
n.k.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
18 Februari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|