7 Machi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 7 Machi ni siku ya 66 ya mwaka (ya 67 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 299.

Matukio [ hariri | hariri chanzo ]

Waliozaliwa [ hariri | hariri chanzo ]

Waliofariki [ hariri | hariri chanzo ]

Sikukuu [ hariri | hariri chanzo ]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Perpetua na Felisita , Saturus , Saturninus , Revokatus , Sekondinus , Eubulo wa Kaisarea , Basili, Eujeni na wenzao , Paulo Mnyofu , Gaudioso wa Brescia , Ardo Smaragdo , Paulo wa Prusa , Teresa Margerita Redi , Maria Antonia wa Mt. Yosefu , Yohane Mbatizaji Nam Chong-sam , Simeoni-Fransisko Berneux , Yusto Ranfer , Ludoviko Beaulieu , Petro Henri Dorie n.k.

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu 7 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .