Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
27 Mei
ni
siku
ya 147 ya
mwaka
(ya 148 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 218.
- 1811
-
Mtakatifu
Maria Yosefa Rossello
,
bikira
kutoka
Italia
- 1897
-
John Douglas Cockcroft
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fizikia
mwaka wa
1951
- 1911
-
Hubert Humphrey
, Kaimu Rais wa
Marekani
- 1912
-
John Cheever
,
mwandishi
kutoka
Marekani
- 1915
-
Herman Wouk
, mwandishi
Mmarekani
, na mshindi wa
Tuzo ya Pulitzer
mwaka wa
1952
- 1922
-
Christopher Lee
,
mwigizaji
wa
filamu
kutoka
Uingereza
- 1926
-
Rashidi Kawawa
,
mwanasiasa
kutoka
Tanzania
- 1955
-
Richard Schiff
, mwigizaji wa filamu kutoka
Marekani
- 1964
-
Adam Carolla
, mwigizaji filamu kutoka
Marekani
- 1975
-
Jadakiss
,
mwanamuziki
kutoka
Marekani
- 1987
-
Gervais Yao Kouassi
,
mchezaji mpira
wa
Cote d'Ivoire
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Augustino wa Canterbury
,
Julio wa Silistra
,
Restituti wa Roma
,
Eutropi wa Orange
,
Bruno wa Wurzburg
,
Gobati
,
Barbara Kim
,
Barbara Yi
,
Atanasi Bazzekuketta
,
Gonzaga Gonza
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
27 Mei
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|