Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
30 Mei
ni
siku
ya 150 ya
mwaka
(ya 151 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 215.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Gavino
,
Basili Mzee
na
Emelia wa Kaisarea
,
Anastasi wa Pavia
,
Dimpna
,
Hubati wa Liege
,
Ferdinando III
,
Yoana wa Arc
,
Luka Kirby
,
Matias Mulumba Kalemba
,
Yosefu Marello
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
30 Mei
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|