Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
20 Februari
ni
siku
ya
hamsini na moja
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 314 (315 katika miaka mirefu).
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Serapioni wa Aleksandria
,
Wafiadini watano wa Turo
,
Tiranioni na Zenobi
,
Eleuteri wa Tournai
,
Eukeri wa Orleans
,
Leo wa Catania
,
Yasinta wa Fatima
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
20 Februari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|