Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
14 Agosti
ni
siku
ya 226 ya
mwaka
(ya 227 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 139.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Maksimiliano Maria Kolbe
,
Ursichini wa Iliriko
,
Marselo wa Apamea
,
Eusebi wa Roma
,
Fahitina
,
Arnulfi wa Soissons
,
Wafiadini wa Otranto
,
Dominiko Ibanyez
,
Fransisko Shoyemon
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
14 Agosti
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|