Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
9 Novemba
ni
siku
ya 313 ya
mwaka
(ya 314 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 52.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
sikukuu
ya
Kutabaruku
Kanisa Kuu la Roma
, lakini pia
kumbukumbu
za
watakatifu
Ursino wa Bourges
,
Agripini wa Napoli
,
Eustolia na Sopatra
,
Elizabeti wa Utatu
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
9 Novemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|