6 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 6 Januari ni siku ya sita ya mwaka . Mpaka uishe zinabaki siku 359 (360 katika miaka mirefu).

Matukio [ hariri | hariri chanzo ]

Waliozaliwa [ hariri | hariri chanzo ]

Waliofariki [ hariri | hariri chanzo ]

Sikukuu [ hariri | hariri chanzo ]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha sherehe ya Epifania lakini pia kumbukumbu za watakatifu Juliani na Basilisa , Felisi wa Nantes , Petro Tomaso , Andrea Corsini , Yohane wa Ribera , Karolo wa Sezze , Rafaela Maria wa Moyo Mtakatifu , Andrea Bessette n.k.

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu 6 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .