Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
21 Januari
ni
siku
ya
ishirini na moja
ya
mwaka
. Mpaka uishe zinabaki siku 344 (345 katika miaka mirefu).
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za watakatifu
Agnes
,
Publio wa Athene
,
Frutuosi, Auguri na Euloji
,
Patroklo wa Troyes
,
Epifanio wa Pavia
,
Meinradi
,
Zakaria wa mlima Mercurio
,
Albano Roe
,
Yohane Yi Yun-il
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
21 Januari
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|