Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
22 Machi
ni
siku
ya
81
ya
mwaka
(ya 82 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 284.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Epafrodito
,
Paulo wa Narbonne
,
Kaliniko na Basilisa
,
Basili wa Ankara
,
Lea wa Roma
,
Benvenuto Scotivoli
,
Nikola Owen
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
22 Machi
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|