James Whyte Black ( 14 Juni 1924 – 22 Machi 2010 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uskoti . Hasa alichunguza matumizi ya propanololi na simetidini kama dawa. Mwaka wa 1988 , pamoja na Gertrude Elion na George Hitchings alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .