Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
4 Septemba
ni
siku
ya 247 ya
mwaka
(ya 248 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 118.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Musa
,
Marselo wa Chalon
,
Papa Bonifasi I
,
Rozalia
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
4 Septemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|