Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
15 Julai
ni
siku
ya 196 ya
mwaka
(ya 197 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 169.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Bonaventura wa Bagnoregio
,
Eutropi, Zosima na Bonosa
,
Felisi wa Thibiuca
,
Katulino na wenzake
,
Filipo na watoto kumi
,
Abumedi
,
Yakobo wa Nisibi
,
Plekelmi
,
Gumbati
,
Yosefu wa Thesalonike
,
Atanasi wa Napoli
,
Vladimir wa Kiev
,
Ansuero na wenzake
,
Daudi wa Uswidi
,
Pompili Maria Pirrotti
,
Petro Nguyen Ba Tuan
,
Andrea Nguyen Kim Thong
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
15 Julai
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|