Cornelis Jacobus Langenhoven ( 13 Agosti 1873 - 15 Julai 1932 ) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini , hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya Kiafrikaans mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, Die Stem ("Mwito").