Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ossetia ya Kusini
ni eneo la
Kaukazi
Kusini
linalotaka kutambulika tangu
mwaka
1991
kama
nchi huru
, lakini bado, kwa kuwa
mataifa
mengi (isipokuwa matano) yanalitambua kama sehemu ya
Georgia
.
Eneo lote ni la
km2
3,900 na wakazi ni 50,000 hivi.
Wengi wao ni
Wakristo
na wanaishi katika
mji mkuu
,
Tshkinvali
.
|
---|
Nchi huru
| |
---|
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
| |
---|
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
| |
---|
|
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Osetia Kusini
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ulaya
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Osetia Kusini
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|