Miriam Makeba
|
|
Amezaliwa
|
4 machi 1932
Johannesburg
|
Amekufa
|
10 November 2008
Italia
|
Nchi
|
Afrika Kusini
|
Majina mengine
|
Miriam Makeba
|
Kazi yake
|
Mwanamuziki
|
Miriam Makeba
(
4 Machi
1932
?
10 Novemba
2008
), aliyeitwa pia
Mama Afrika
, alikuwa
mwanamuziki
kutoka nchi ya
Afrika Kusini
. Yeye ni mashuhuri hasa kwa kufahamisha
muziki
wa
Afrika
nje ya
bara
lake.
Miriam Makeba alizaliwa tarehe 4 Machi 1932 katika
jiji
la
Johannesburg
, Afrika Kusini.
Mama
yake alikuwa wa
kabila
la waswazi|Swazi sangoma na
baba
yake wa kabila la
Xhosa
. Baba alifariki wakati Miriam akiwa na
umri
wa miaka
sita
.
Miriam alikuwa mwanamuziki pekee wakati huo aliyeweza kufanikiwa kuzieneza
nyimbo
zenye asili ya Kiafrika. Pia alikuwa miongoni mwa wanamuziki waasisi wa kuchanganya mitindo tofauti ya muziki na kutengeneza muziki wa kuvutia kama kwaito.
Alianza kazi ya muziki mwanzoni mwa mwaka
1950
akiwa na kundi la
The Skylarks
, baadaye alijiunga na kundi la
Manhattan Brothers
. Makundi hayo yalikuwa yakipiga muziki wa
Jazz
wenye vionjo vya Kiafrika kusini.
Mwaka
1959
, Miriam alifanya onyesho kubwa pamoja na
Hugh Masekela
,
mume
wake wa baadaye. Maonyesho aliyofanya pamoja na albamu nzuri alizorekodi havikumpatia faida, lakini baadaye alifanya matamasha katika nchi za
Ulaya
na
Amerika
.
Ulipoanza mkakati wa kupinga
ubaguzi wa rangi
uliokuwa ukiendelea Afrika ya kusini, Miriam aliamua kurudi nyumbani kupigania
uhuru
. Baadaye alialikwa
Italia
katika tamasha la
filamu
la
Venice
.
Kati ya nyimbo za Miriam zilizo maarufu ni
Patapata
(kwa
lugha
ya KiXhosa ni "Qongaqothwan"). Wimbo maarufu wa
Malaika
uliotungwa na Fadhili William Miriam aliuimba akishirikiana na Harry Belafonte.
Miriam alirudi tena nyumbani mwaka
1990
, na mwaka
1992
alicheza
filamu
ya
Sarafina
.
Mwaka
2001
alitunukiwa tuzo ya dhahabu iliyoitwa Otto Hahn Peace Medal, pia alishika nafasi ya 38 kati ya wanamuziki bora kati ya 100 waliopewa
tuzo
nchini
Afrika Kusini
.
Mwaka wa
2005
, Miriam alifanya ziara ya kimuziki kwa ajili ya kuwaaga
marafiki
wake wote
duniani
iliyomchukua miezi kumi na minne; alifanya maonyesho katika nchi zote alizotembelea wakati alipokuwa akifanya kazi ya muziki.
Aliaga dunia kwa
shtuko la moyo
alfajiri
ya tarehe 10
Novemba
2008
, nchini
Italia
baada ya kutoa onyesho la muziki.
- Something New from Africa
(
1959
)
- New Sounds of Africa
(
1959
)
- The Many Voices of Miriam Makeba
(
1960
)
- Miriam Makeba (album)|Miriam Makeba
(
1960
)
- The World of Miriam Makeba
(
1963
)
- The Voice of Africa
(
1964
)
- Makeba Sings
(
1965
)
- An Evening with Belafonte/Makeba
(
1965
)
- The Magic of Makeba
(
1966
)
- The Magnificent Miriam Makeba
(
1966
)
- Miriam Makeba in Concert
(
1967
)
- All About Miriam
(
1967
)
- Pata Pata
(
1967
)
- Makeba!
(
1968
)
- Live in
Tokyo
(
1968
)
- The Best of Miriam Makeba (
1968
)
- Keep Me in Mind
(
1970
)
- Forbidden Games
(
1973
)
- A Promise
(
1974
)
- Live in Conakry
(pia
Appel a l'Afrique
,
1974
)
- Miriam Makeba & Bongi
(
1975
)
- Live in
Paris
(
1977
)
- Country Girl
(pia
Meet Me at the River
,
1978
)
- Comme une symphonie d'amour
(
1979
)
- Sangoma
(
1988
)
- Welela
(
1989
)
- Kilimanjaro
- Live in Conakry
(pia
Live au Palais du Peuple de Conakry
,
1990
)
- Eyes on Tomorrow
(
1991
)
- The Queen of African Music
(
1991
)
- Miriam Makeba and the Skylarks vol. 1
(
1991
)
- Miriam Makeba and the Skylarks vol. 2
(
1991
)
- Africa (album)|Africa
(
1991
)
- Sing Me a Song
(
1993
)
- Folk Songs from Africa
(
1994
)
- Live in
Paris
and Conakry
(
1996
)
- Hits and Highlights
(
1997
)
- Homeland
(
2000
)
- Legend
(
2001
)
- The Guinea Years
(
2001
)
- Mama Africa: The Very Best of Miriam Makeba
(
2001
)
- The Definitive Collection
(
2002
)
- The Early Years
(
2002
)
- Reflections
(
2003
)
- The Best of Miriam Makeba & The Skylarks
(
2003
)
- Live at Berns Salonger, Stockholm, Sweden,
1966
(
2003
)
- Forever
(
2006
)
- Her Essential Recordings
(
2006
)
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Miriam Makeba
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|