Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa maana mbalimbali za jina Israeli katika
Biblia
tazama
Israeli (maana)
Israel
(kwa
Kiebrania
:
????? ?????
-
Medinat Yisra'el
; kwa
Kiarabu
:
???????? ???????????
-
dawlat Isr?'?l
) ni nchi ya
Mashariki ya Kati
kwenye
mwambao
wa
mashariki
wa
Mediteranea
.
Imepakana na
Lebanon
,
Syria
,
Yordani
,
Misri
na maeneo yaliyo chini ya
mamlaka
ya
serikali
ya
Palestina
.
Historia
Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe
14 Mei
1948
lakini nyuma kuna
historia
ndefu, ambayo kwa sehemu muhimu inasimulia na
Biblia
kama
kiini
cha
historia ya wokovu
.
Mji mkuu
umekuwa
Yerusalemu
tangu mwaka
1950
lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali yake kadiri ya
Sheria ya kimataifa
haieleweki.
Watu
Takriban 74.9% za wakazi ni
Wayahudi
ambao wengi wao wanafuata
dini
ya
Uyahudi
, na 20.7 % ni
Waarabu
ambao wengi ni
Waislamu
(16%) lakini pia
Wakristo
(2% za raia wote: kati ya Wakristo hao karibu 80% ni Waarabu).
Wahamiaji
wengi wasiopata uraia ni Wakristo.
Lugha rasmi
ni
Kiebrania
na
Kiarabu
.
Lugha
nyingine zinazotumika sana nyumbani ni
Kirusi
,
Kifaransa
na
Kiamhari
, mbali ya
Kiingereza
.
Tazama pia
Viungo vya nje
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Israel
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|