Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
8 Machi
ni
siku
ya
67
ya
mwaka
(ya 68 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 298.
- Siku ya kimataifa ya wanawake
inasherehekewa katika nchi nyingi kwenye tarehe hii
- Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Yohane wa Mungu
,
Ponsyo wa Karthago
,
Apoloni na Filemoni
,
Provino
,
Senan
,
Felisi wa Dunwich
,
Teofilati wa Nikomedia
,
Hunfridi
,
Litifridi
,
Duthak
,
Veremundo wa Irache
,
Stefano wa Obazine
,
Emanueli Miguez
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
8 Machi
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|