Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
21 Machi
ni
siku
ya
80
ya
mwaka
(ya 81 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 285. Kimapokeo ni
sikusare machipuo
(
sikusare
ya
majira ya kuchipua
), ingawa katika
karne ya 21
imekuwa kweli mara mbili tu: miaka mingine yote imekuwa au itakuwa tarehe
19 Machi
au
20 Machi
.
- Tarehe hii inasherehekewa kama
Nouruz
au
Mwaka Mpya
katika nchi na jamii za kidini zinazofuata
kalenda ya Kiajemi
. Ni
sikukuu
katika nchi zifuatazo:
Uajemi
,
Afghanistan
,
Kazakhstan
,
Kyrgyzstan
,
Tajikistan
,
Azerbaijan
,
Turkmenistan
na
Kashmir
. Katika Uajemi na Afghanistan inaanzisha rasmi mwaka mpya.
- Nchi nyingi hutumia
kalenda ya Gregori
kama
kalenda
rasmi na huko 21 Machi ni
sikukuu
ya ki
utamaduni
.
- Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Serapioni wa Thmuis
,
Wafiadini wa Ijumaa Kuu wa Aleksandria
,
Lupisino wa Condat
,
Enda wa Aran
,
Yakobo muungamadini
,
Yohane wa Valence
,
Nikola wa Flue
,
Benedikta Cambiagio Frassinello
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
21 Machi
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|