Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu
mwaka
1912 BK
(
Baada ya Kristo
).
- 8 Januari
- kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini
Afrika Kusini
ambayo ni chama kitangulizi cha
ANC
.
- 21 Januari
-
Konrad Bloch
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
mwaka wa
1964
- 30 Januari
-
Horst Matthai Quelle
, mwanafalsafa kutoka
Ujerumani
- 12 Februari
-
Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy
, mwanahistoria kutoka
Zanzibar
- 19 Aprili
-
Glenn Seaborg
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Kemia
mwaka wa
1951
- 22 Mei
-
Herbert Brown
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Kemia
mwaka wa
1979
- 27 Mei
?
John Cheever
, mwandishi wa
Marekani
na mshindi wa
Tuzo ya Pulitzer
, mwaka wa
1979
- 28 Mei
-
Patrick White
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fasihi
, mwaka wa
1973
- 30 Mei
-
Julius Axelrod
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
mwaka wa
1970
- 12 Julai
- Kardinali
Laurean Rugambwa
wa
Dar es Salaam
- 13 Agosti
-
Salvador Luria
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
mwaka wa
1969
- 30 Agosti
-
Edward Purcell
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fizikia
mwaka wa
1952
- 24 Septemba
-
Robert Lewis Taylor
, mwandishi kutoka
Marekani
- 17 Oktoba
-
Papa Yohane Paulo I
(kwa jina la
Albino Luciani
)
- 19 Novemba
-
George Palade
, mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
mwaka wa
1974
- 30 Novemba
-
Gordon Parks
, msanii wa
Marekani
bila tarehe
Wikimedia Commons ina media kuhusu: