Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katharine Hepburn
(
12 Mei
1907
-
29 Juni
2003
) alikuwa
mwigizaji
wa
filamu
wa
Marekani
.
Kwa ajili ya
uhuru
wake na
utu
wa
roho
, Hepburn alikuwa
mwanamke
aliyeongoza katika
Hollywood
kwa zaidi ya miaka 60.
Alionekana katika aina nyingi za
muziki
, kutoka kwenye
komedi screwball
, na alipokea
tuzo
nne
kwa kuwa ni
mwigizaji
bora.
Mwaka
1999
, Hepburn aliitwa na
Taasisi
ya
Filamu
ya
Marekani
kama
nyota
kubwa zaidi ya
kike
ya
Classic Hollywood Cinema
.
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Katharine Hepburn
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|