Arizona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Jimbo la Arizona








Arizona

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani  Marekani
Mji mkuu Phoenix
Eneo
 - Jumla 295,254 km²
 - Kavu 294,312  km²  
 - Maji 942  km²  
Tovuti :   http://www.az.gov/

Arizona ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani . Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,500,180 ( 2006 ) wanaokalia eneo la 295,254 km² ambalo sehemu kubwa ni milima na jangwa. Mji mkuu na mji mukubwa jimboni ni Phoenix . Imepakana na Utah , New Mexico (Meksiko Mpya), Mexiko ( Sonora na Baja California ), California na Nevada . Kuna lugha rasmi 3: Kiingereza (74.1%), Kihispania (19.5%) na Kinavaho (1.9%).

Viungo vya Nje [ hariri | hariri chanzo ]

State of Arizona Official Website

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

Alabama Alaska Arizona Arkansas California Colorado Connecticut Delaware Florida Georgia Hawaii Idaho Illinois Indiana Iowa Kansas Kentucky Louisiana Maine Maryland Massachusetts Michigan Minnesota Mississippi Missouri Montana Nebraska Nevada New Hampshire New Jersey New Mexico New York North Carolina North Dakota Ohio Oklahoma Oregon Pennsylvania Rhode Island South Carolina South Dakota Tennessee Texas Utah Vermont Virginia Washington West Virginia Wisconsin Wyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu .
Je unajua kitu kuhusu Arizona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .