Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
15 Desemba
ni
siku
ya 349 ya
mwaka
(ya 350 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 16.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Valeriano wa Avensano
,
Masimino wa Micy
,
Virginia Centurione Bracelli
,
Maria Msulubiwa Di Rosa
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
15 Desemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|