Wahome Mutahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wahome Mutahi ( 24 Oktoba 1954 22 Julai 2003 ) alikuwa mwandishi mpendwa sana katika Kenya . Aliitwa Whispers kama jina la "column" aliyoiandika kwa The Daily Nation .

Aliandika pia tamthilia na vitabu . Alikuwa mtu mwenye siasa, na mhakiki mkali, lakini kila wakati alitumia ucheshi.

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]