Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uruguay
ni nchi ya
Amerika Kusini
upande wa
mashariki
ya
bara
kando ya
Atlantiki
.
Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na
Surinam
.
Imepakana na
Brazil
na
Argentina
. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni
maji
:
mdomo
mpana wa
mto
Rio de la Plata
uko upande wa kusini-magharibi na Atlantiki upande wa kusini-mashariki.
Mji mkuu
ni
Montevideo
wanapoishi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa nchi (1,900,000 kati ya 3,407,000 hivi).
Wakazi wengi (87.7%) wana
asili
ya
Ulaya
, hasa
Hispania
na
Italia
. Wenye asili ya
Afrika
ni 4.6% na
Waindio
2.4% tu.
Lugha rasmi
na ya kawaida ni
Kihispania
.
Upande wa
dini
, nchi haina
dini rasmi
. Wakazi wengi (54.3%) ni
Wakristo
, hasa wa
Kanisa Katoliki
(44.8%).
- Andrew, G. R. (2010)
Blackness in the White Nation: A History of Afro-Uruguay
, The University of North Carolina Press
- Behnke, A. (2009)
Uruguay in Pictures
, Twenty First Century Books
- Box, B. (2011)
Footprint Focus: Uruguay
, Footprint Travel Guides
- Burford, T. (2010)
Bradt Travel Guide: Uruguay
, Bradt Travel Guides
- Canel, E. (2010)
Barrio Democracy in Latin America: Participatory Decentralization and Community Activism in Montevideo
, The Pennsylvania State University Press
- Clark, G. (2008)
Custom Guide: Uruguay
, Lonely Planet
- Jawad, H. (2009)
Four Weeks in Montevideo: The Story of World Cup 1930
, Seventeen Media
- Lessa, F. and Druliolle, V. (eds.) (2011)
The Memory of State Terrorism in the Southern Cone: Argentina, Chile, and Uruguay
, Palgrave Macmillan
- Mool, M (2009)
Budget Guide: Buenos Aires and Montevideo
, Cybertours-X Verlag
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uruguay
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Uruguay
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|