Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mats Julian Hummels
(alizaliwa
16 Desemba
1988
) ni
mchezaji
wa
soka
wa
Ujerumani
ambaye anacheza kama
mlinzi
katika
klabu
ya
Bayern Munich
na
timu ya taifa
ya Ujerumani.
Alianza kucheza katika chuo cha vijana wa Bayern Munich kabla ya kujiunga na
Borussia Dortmund
kwa mkopo Januari
2008
na kusaini rasmi Dortmund mwezi Februari
2009
kwa
euro milioni 4
. Utukufu wake katika klabu hujumuisha vyeo viwili vya ligi na kumaliza kama mchezaji katika Ligi ya Mabingwa ya
UEFA
2012-13
. Mnamo Mei
2016
, Hummels alitia saini ya makubaliano na Bayern.
Hummels ameanza kuchezea timu ya taifa tangu
2010
,na kupata zaidi ya magoli 60 na kuwakilisha Ujerumani katika
UEFA Euro
2012
,
2014
FIFA Kombe la Dunia
,
UEFA Euro 2016
.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mats Hummels
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|