Borussia Dortmund ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Ujerumani . Ni klabu ya michezo ya kitaalamu ya Ujerumani iliyoko jiji la Dortmund ,Inajulikana zaidi kwa timu yake ya mpira wa miguu ya wanaume, ambayo inacheza katika Bundesliga . Klabu hiyo imeshinda michuano minane ya ligi, makombe matano ya DFB-Pokals , kombe moja la Ligi ya mabingwa barani Ulaya UEFA , Kombe moja la mabara(International club cup), na Kombe la Washindi wa UEFA Cup . [1] Rangi za Borussia Dortmund ni nyeusi na njano . [2]
|date=, |accessdate=
|date=