Asubuhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yosemite Valley wakati wa asubuhi.

Asubuhi (kutoka Kiarabu : ????) ni kipindi cha siku ambacho kinaleta mwanga wa kwanza wa mchana baada ya giza la usiku .

Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa kuamka kwa kutoka usingizini ili kuanza shughuli mbalimbali.

Katika dini mbalimbali, ni wakati muhimu wa sala .