Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saint-Barth
(
jina rasmi
la
Kifaransa
ni
Collectivite territoriale de Saint-Barthelemy
) ni
eneo la ng'ambo la Ufaransa
.
[1]
Jina la awali lilikuwa
Ouanalao
, halafu likapewa jina la
Mtume Bartholomayo
.
[2]
St. Barth ni
kisiwa
chenye
asili
ya
volkeno
ambacho kipo kati ya
Saint Martin
na
St. Kitts
.
[3]
Ukubwa
wake ni
kilometa mraba
25.
Kuanzia mwaka
2003
hakipo tena chini ya
Guadeloupe
.
Wakazi ni 9,035 (
kadirio
la Januari
2011
).
Makao makuu
yako
Gustavia
, ilipo
bandari
kuu ya kisiwa.
Lugha
na
utamaduni
ni vya
Kifaransa
hasa, kwa kuwa wakazi wengi wana asili hiyo.
- ↑
"The World Fact Book"
.
Government
. CIA Fact Book. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2012-10-29
. Iliwekwa mnamo
8 Januari
2011
.
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
R. P. Raymond BRETON. Dictionnaire caraibe-francois, Auxerre, Chez Gilles Bouquet, 1665.
- ↑
"The World Fact Book"
.
Geography
. CIA Fact Book. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2012-10-29
. Iliwekwa mnamo
8 Januari
2011
.
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Serikali
- Historia na biolojia
- Taarifa za jumla
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Bahari ya Karibi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Saint-Barth
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
17°54′N
62°50′W
/
17.900°N 62.833°W
/
17.900; -62.833